Psalms 74:16-17

16 aMchana ni wako, nao usiku ni wako pia,
uliziweka jua na mwezi.
17 bNi wewe uliyeiweka mipaka yote ya dunia,
ulifanya kiangazi na masika.
Copyright information for SwhNEN